Habari M-pya
More-
WALIMU WAKUU KIGOMA WANOLEWA UONGOZI NA USIMAMIZI WA UJIFUNZAJI NA UFUNDISHAJI
June 26, 2025imu Wakuu wa shule za msingi na Waratibu wa Jumuiya za kujifunza (JzK) Mkoani Kigoma wamepatiwa Mafunzo ya Uongozi na usimamizi wa Ujifunzaji na Ufundishaji ili kuendana na dira,dhima na mis... read more
-
WAKAZI ZAIDI YA ELFU 20 MWANDIGA KUNUFAIKA NA MRADI WA KITUO KIPYA CHA AFYA
June 28, 2025azi zaidi ya Elfu 20 kutoka Kata ya Mwandiga na maeneo ya jirani wanatarajiwa kuondokana na adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma ya afya baada ya Serikali kutenga kiasi cha sh.Mil.25... read more
-
SERIKALI IMETEKELEZA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU (2 IN 1) KATIKA SHULE YA SEKONDARI NKUNGWE
June 30, 2025ikali imetekeleza ujenzi wa nyumba ya Walimu(2 in1 ) katika Shule ya Sekondari ya Nkungwe katika Kata ya Nkungwe kwa thamani ya shilingi milioni 110. Kukamilika kwa ujenzi wa nyu... read more
-
HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO YA KUKU DHIDI YA MAGONJWA HATARI
July 3, 2025mashauri ya Wilaya ya Kigoma imezindua rasmi zoezi la chanjo ya kuku kwa lengo la kukabiliana na magonjwa hatari yanayowakumba hususan mafua, mdondo na ndui ili kuwawezesha wafugaji kutekele... read more
-
MADIWANI WAIPA KONGOLE KIGOMA DC KUPAA KWA MAPATO
May 30, 2025eshimiwa Madiwani wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya hiyo kwa ongezeko la mapato ya ndani yanayowezesha kutekeleza shughuli za Maendeleo kwa h... read more