UJIO WA MBIO ZA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
Posted on 16 August 2025Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma inatarajia Kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 20 September 2025, Mapokezi Hayo Yanatarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kilemba
Aidha baada ya Mapokezi hayo Mwenge wa wa Uhuru Utakimbizwa maeneo Mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa lengo la Kuwekea jiwe la msingi na Kuzindua Miradi MbaliMbali iliyotekelezwa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma 2025/2026.
baada ya hapo mwenge wa uhuru utakesha katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwandiga.