-
Jun 03
-
Jun 01
-
Jun 23
-
Jun 26
-
Jun 28
-
Jun 30
-
Jul 03
-
Jul 12
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe.Dkt.Rashid Chuachua amewataka Wananchi kuwa na tabia ya kufanya usafi mara kwa mara ili kuhakikisha mazingira yanalinda Afya ya Binadamu. Dkt.Chuachua amet
read moreHalmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa kushirikiana na Shirika la Chakula Duniani (FAO)imepeleka Elimu ya shamba Darasa kwa wakulima zaidi ya 1500 itakayowawezesha kutekeleza shughuli za kilimo kuendana
read moreMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kigoma Mhe.Almesh Mayonga amesema ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu na afya kwa kuzingatia Ilani ya CCM kwe
read moreWalimu Wakuu wa shule za msingi na Waratibu wa Jumuiya za kujifunza (JzK) Mkoani Kigoma wamepatiwa Mafunzo ya Uongozi na usimamizi wa Ujifunzaji na Ufundishaji ili kuendana na dira,dhima na
read moreWakazi zaidi ya Elfu 20 kutoka Kata ya Mwandiga na maeneo ya jirani wanatarajiwa kuondokana na adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma ya afya baada ya Serikali kutenga kiasi cha sh.Mil.250 kwaaj
read moreSerikali imetekeleza ujenzi wa nyumba ya Walimu(2 in1 ) katika Shule ya Sekondari ya Nkungwe katika Kata ya Nkungwe kwa thamani ya shilingi milioni 110. Kukamilika kwa ujenzi wa nyumba hii
read moreHalmashauri ya Wilaya ya Kigoma imezindua rasmi zoezi la chanjo ya kuku kwa lengo la kukabiliana na magonjwa hatari yanayowakumba hususan mafua, mdondo na ndui ili kuwawezesha wafugaji kutekeleza ufug
read moreMkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.IGP(mst) Balozi Simon Sirro amewataka Wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuvutia wawekezaji katika sekta ya kilimo,ufugaji na fusra za Biashara ili kukuza kipato cha Wanan
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486
Copyright ©2024GWF . All rights reserved.