-
Feb 09
-
Mar 08
-
Apr 02
-
Apr 15
-
Apr 18
-
Apr 19
-
May 09
-
May 21
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Mhe. Salum Kalli ameziagiza shule zote za Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kutoa Chakula shuleni, Amesema hayo, Leo tarehe 09, Februari, 2024, Akiwa kwenye kikao cha
read moreMkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameionya jamii kuachana na tabia za kumaliza mashauri ya vitendo vya ukatili wa kijinsia nje ya mfumo wa sheria kwasababu yoyote ile. Amesema kumalizana na
read moreWatendaji 16 wa kata za halmashauri ya wilaya ya Kigoma wamempongeza mkurugenzi wa halmashauri hiyo Chiriku Chilumba kwa kumpatia mbuzi kutokana na kuhakikisha kuwa stahiki zao zimelipwa kwa wakati.
read moreMkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kigoma Chiriku Chilumba amewaomba watendaji wa serikali za mitaa, vijiji na kata kubaini maeneo ya uwekezaji katika maeneo yao, yanayomilikiwa na serikali au mtu
read moreJumla ya watoto milioni 1.2 wenye umri wa chini ya miaka mitano watafikiwa na mradi wa lishe ikiwa ni jitihada za kukabiliana na changamoto ya udumavu katika mikoa ya Njombe, Songwe, Rukwa, Katavi na
read moreAkifungua kikao cha afya ya msingi Mkuu wa wilaya ya kigoma Salum Kalli amesema kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi HPV Kwa wasichana wenye umri wa miaka 9 had
read moreHalmashauri ya wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma imefanikiwa kuzalisha miche milioni nne ya kahawa aina ya compact kupitia taasisi ya utafiti wa zao la kahawa nchini ( TACRI) ili kuongeza uzalishaji.
read moreMusin Japhari mkazi wa kijiji cha Nyabhigufa kata ya Mkongoro halmashauri ya wilaya ya Kigoma ni mmoja kati ya wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (PSSN) chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486
Copyright ©2024GWF . All rights reserved.