Kutoa ushauri wa kitaalam wa uandaaji wa bajeti na mipango ya maendeleo.
Kutoa takwimu za kiuchumi na kijamii za Halmashauri .
Kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo .
Kuandaa maandiko ya Miradi.
Kumsikiliza mteja .
Kumpa mteja ushauri na maelekezo .
Kujibu barua za wateja.
Kuandaa na kuwasilisha taarifa mbalimbali.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa