Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wakulima, wafugaji na wanaushirika.
Ukarabati wa mifereji ya Umwagiliaji.
Ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao.
Kutoa mafunzo kwa wakulima na wafugaji.
Kujibu barua .
Kushughulikia na kutoa tuzo/motisha kwa wakulima.
Kusimamia taratibu za kuanzisha VIKOBA .
Kukagua na kutoa taarifa ya ukaguzi kwa VIKOBA/KIJIJI/chama cha ushirika.
Kusimamia taratibu, kuanzisha hadi kuandikisha vyama vya ushirika .
Kuandaa na kutoa taarifa za Idara.
Kumsikiliza mteja .
Kumpa mteja ushauri na maelekezo .
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa