IDARA YA UTAWALA/ UTUMISHI
Kushughulikia masuala ya ajira.
Kushughulikia kuthibitishwa watumishi wenye sifa kazini.
Kupandisha watumishi wenye sifa vyeo.
Kushughulikia masuala ya nidhamu kwa watumishi wanaokiuka taratibu- siku .
Kurekebisha mishahara yenye matatizo.
Kutoa mafunzo/Semina sehemu za kazi kwa watumishi wapya .
Kuandaa bajeti ya mishahara ya watumishi na OC na idara ya Utumishi.
Kuandaaa Tange ya Watumishi wa idara zote.
Kushughulikia mafao ya wastaafu.
Kujaza nafasi wazi ya uondozi ngazi ya kijiji na kitongoji.
Kuboresha Mazingira ya Kufanya kazi kwa WEO’s na VEO’s.
Kuhakikisha uitishaji wa vikao vya kisheria Ngazi ya kijiji/kitongoji.
Kuzipatia ofisi za kata na kijiji samani na shajala.
Kujibu barua.
Kumsikiliza mteja .
Kumpa mteja ushauri na maelekezo .
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa