• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA KUJENGA VYOO NA KUZINGATIA USAFI

Posted on: October 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe.Dkt. Rashid Chuachua amewataka wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Kigoma kujenga vyoo katika kaya zao ili kuepukana na maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu na magonjwa mengine yanayosababishwa na uchafu.

DC Chuachua ametoa kauli hiyo leo tarehe 7 Oktoba,2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mahembe wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa kata hiyo.


"Ugonjwa wa kipindupindu unasababishwa na kula kinyesi kibichi, nataka wananchi wote wawe na vyoo na waache tabia ya kujisaidia na kujisafisha pembezoni mwa mto kwakuwa inasababisha vimelea vya kipindupindu kusambaa kwa urahisi, mwananchi ambaye hana choo atatozwa faini ya shilingi elfu 50,000/= na lazima achimbe choo bora chenye mfuniko na kiwe kisafi" Amesisitiza Dkt. Chuachua


Mhe.Dkt.Chuachua amesema Serikali imejidhatiti kulinda afya ya jamii kwa kuendelea kutoa elimu na  huduma bora za afya ili wananchi waendelee kutekeleza majukumu yao ya kujipatia maendeleo wakiwa na afya njema.


Aidha Dkt.Chuachua ameongeza kuwa Serikali haiko tayari kuona watu wanafanya biashara hasa wa chakula katika maeneo yasiyo salama,kwa lengo la kuhakikisha Wananchi hawapati maambukizi ya magonjwa yatokanayo na uchafu ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu.


Pamoja na hayo Mhe.Dkt.Chuachua ametatua kero mbalimbali za migogoro ya ardhi kwenye maeneo mbalimbali,changamoto za ukosefu wa huduma za maji na umeme lakini pia changamoto za vyama vya msingi vya Ushirika(AMCOS) na mfuko wa Maendeleo ya jamii(TASAF).


Dkt.Chuachua ametumia fursa hiyo kuwakumbusha Wananchi wa Kata hiyo na maeneo mengine kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa na kushiriki Uchaguzi ifikapo 27 Novemba, 2024.

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

    read more
  • TANGAZO LA AJIRA

    read more
  • TANGAZO LA MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA

    read more
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • R.C ANDENGENYE AIPONGEZA KIGOMA D.C KWA HATI SAFI-ASISITIZA USIMAMIZI THABITI MAPATO YA NDANI
  • DAS NZOTA APIGA MARUFUKU MASOKO YA USIKU KWA WATOTO WA UMRI WA CHINI YA MIAKA 18
  • KAMATI YA SIASA YA CCM (W) KIGOMA YARIDHISHWA UTEKELEZAJI WA MIRADI KIGOMA D.C
  • WALIMU WAKUU KIGOMA WANOLEWA UONGOZI NA USIMAMIZI WA UJIFUNZAJI NA UFUNDISHAJI
  • MADIWANI WAIPA KONGOLE KIGOMA DC KUPAA KWA MAPATO
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani