UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU KATIKA SEKTA YA ELIMU KIGOMA DC

Haya ni majengo ya Shule ya Sekondari ya Kazegunga katika Kata ya Mungonya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.
Huu ni mwendelezo wa uboreshaji wa Miundombinu katika Sekta ya Elimu kwa shule za Sekondari na Msingi unaofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma