TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA
Posted on 15 March 2022Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia wananchi wote kuwa Halmashauri inauza viwanja vilivyopimwa kwa matumizi ya Makazi na Makazi na Biashara katika eneo la Kitalu “A” Kalinzi lililopo karibu na ofisi ya Mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini umbali wa mita 80 kutoka barabara ya lami ya Mwandiga – Manyovu. Kwa maelezo zaidi bofya tangazo hili: TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA.pdf