TANGAZO MAALUM LA KUKODISHA BOTI
Posted on 08 June 2022Picha ya Boti la Kigoma DC, kwa Mbele!
Halmashauri ya Wilaya Kigoma inalo boti la kisasa na la mwendo kasi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya Mapato ya Halmashauri, katika ziwa Tanganyika. Boti Hili Linakodishwa kwa lengo hilohilo la Mapato ya Halmashauri. Lina uwezo wa kubeba Abiria kumi na nane (18) na Wahudumu wa Boti watatu (3). Ina Kasi ya Kutosha na usalama wa hali ya juu. Wasiliana na Andrew Mtui (0787390819) Afisa Mifugo na Uvuvi, ili Kulikodi Boti.
Viti vyenye nakishi kwa ajili ya kukalia Abiria ndani ya Boti
Picha: Huduma ya Choo ndani ya Boti.
Picha: Stoo ya Vifaa vya Usalama (Maboya) ndani ya Boti
Picha: Mashine (Engines) mbili za Boti la Kigoma DC
Hizi ndizo mashine zinazoliwezesha Boti kukimbia kwa kasi inayotakiwa.