• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

WANAMICHEZO UMISETA WATAKIWA KUWA MABALOZI WAZURI KWA KUZINGATIA NIDHAMU NA WELEDI

Posted on: June 11th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mwl.Chiriku Hamisi Chilumba amewataka wanamichezo kuzingatia Nidhamu na Weledi wakati wa Mashindano ya UMISETA ili kufanya vizuri kwenye Mashindano hayo.

DED Mwl.Chilumba ametoa kauli hiyo leo tarehe 10 Juni,2025 wakati akiwaaga Wanamichezo 115 wa UMISSETA kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wanaokwenda kushiriki Mashindano kwenye ngazi ya Mkoa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Kasulu kuanzia tarehe 11-14 Juni,2025.

Amesema kwa kuzingatia Nidhamu na Weledi Mashindano yatakuwa rahisi huku akiwataka kupambana kwa bidii ili kuwa na wanamichezo wengi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ambao wataingia kwenye timu ya Mkoa.

"Hakuna sababu ya kushindwa,kwa nini tushindwe na turuhusu wengine washindwe?hili halikubaliki kabisa". amesisitiza Mwl.Chilumba

Aidha Mkurugenzi amebainisha faida mbalimbali za michezo ikiwemo kujenga mahusiano na kuimarisha urafiki miongoni mwa Wanakigoma lakini pia kuimarisha afya ya mwili na chanzo cha ajira kwa vijana wengi.

"Wanamichezo wengi hulipwa pesa nyingi, hivyo mnapaswa kuonesha vipaji vyenu kwa bidii kwani michezo ni fursa kubwa inayolipa siku za usoni,nendeni mkaibebe Halmashauri yetu na kuitambulisha mikoani na hata nje ya nchi,” amesema Mwl.Chilumba. UMISETA WATAKIWA KUWA MABALOZI WAZURI KWA KUZINGATIA NIDHAMU NA WELEDI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mwl.Chiriku Hamisi Chilumba amewataka wanamichezo kuzingatia Nidhamu na Weledi wakati wa Mashindano ya UMISETA ili kufanya vizuri kwenye Mashindano hayo.

DED Mwl.Chilumba ametoa kauli hiyo leo tarehe 10 Juni,2025 wakati akiwaaga Wanamichezo 115 wa UMISSETA kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wanaokwenda kushiriki Mashindano kwenye ngazi ya Mkoa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Kasulu kuanzia tarehe 11-14 Juni,2025.

Amesema kwa kuzingatia Nidhamu na Weledi Mashindano yatakuwa rahisi huku akiwataka kupambana kwa bidii ili kuwa na wanamichezo wengi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ambao wataingia kwenye timu ya Mkoa.

"Hakuna sababu ya kushindwa,kwa nini tushindwe na turuhusu wengine washindwe?hili halikubaliki kabisa". amesisitiza Mwl.Chilumba

Aidha Mkurugenzi amebainisha faida mbalimbali za michezo ikiwemo kujenga mahusiano na kuimarisha urafiki miongoni mwa Wanakigoma lakini pia kuimarisha afya ya mwili na chanzo cha ajira kwa vijana wengi.

"Wanamichezo wengi hulipwa pesa nyingi, hivyo mnapaswa kuonesha vipaji vyenu kwa bidii kwani michezo ni fursa kubwa inayolipa siku za usoni,nendeni mkaibebe Halmashauri yetu na kuitambulisha mikoani na hata nje ya nchi,” amesema Mwl.Chilumba.

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

    read more
  • TANGAZO LA AJIRA

    read more
  • TANGAZO LA MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA

    read more
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • R.C ANDENGENYE AIPONGEZA KIGOMA D.C KWA HATI SAFI-ASISITIZA USIMAMIZI THABITI MAPATO YA NDANI
  • DAS NZOTA APIGA MARUFUKU MASOKO YA USIKU KWA WATOTO WA UMRI WA CHINI YA MIAKA 18
  • KAMATI YA SIASA YA CCM (W) KIGOMA YARIDHISHWA UTEKELEZAJI WA MIRADI KIGOMA D.C
  • MADIWANI WAIPA KONGOLE KIGOMA DC KUPAA KWA MAPATO
  • DC DKT.CHUACHUA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SIMBO AHIMIZA LIWE ENDELEVU
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani