• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

R.C ANDENGENYE AIPONGEZA KIGOMA D.C KWA HATI SAFI-ASISITIZA USIMAMIZI THABITI MAPATO YA NDANI

Posted on: June 14th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.CGF(Rtd) Thobias Andengenye ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa kupata hati safi kutoka ofisi ya Mdhibiti Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali huku akisisitiza usimamizi thabiti wa Mapato ya Ndani.


Mhe.Andengenye ametoa kauli hiyo leo tarehe 14 Juni,2025 wakati wa Kikao Maalum cha Baraza la kujadili hoja na Mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya uliopo eneo la Mahembe.


"Mwisho wa Ukaguzi mmoja ni mwanzo wa Ukaguzi unaofuata,hivyo niwasihi Wakuu wa Idara na Vitengo mjipange kwaajili ya Ukaguzi unaokuja,haya Mafanikio ya kupata hati inayoridhisha lazima tuyalinde kwa wivu mkubwa"amesisitiza Mhe.Andengenye


RC Andengenye amesema "Tunatafuta vyanzo vipya vya Mapato na kutanua wigo,lakini pia baada ya kupata ni lazima tuhakikishe hizo fedha zilizopatikana hazipotelei kwenye mifuko ya watu binafsi, kwahiyo lazima tuzuie mianya yote ya upotevu wa mapato".amesema Mhe.Andengenye


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mhe.Joseph Nyambwe amebainisha namna ambavyo Halmashauri imepiga hatua kubwa kwenye ukusanyaji wa mapato ya ndani kutokana na ushirikiano baina ya Waheshimiwa Madiwani na Mkurugenzi Mtendaji pamoja na wataalam.



Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mwl.Chiriku Hamisi Chilumba amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa maelekezo yote yaliyotolewa katika kikao hicho yatazingatiwa na kufanyiwa kazi kwa ukamilifu kadiri inavyopasa.


Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Hassan Rugwa pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Mganwa Nzota kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma.

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

    read more
  • TANGAZO LA AJIRA

    read more
  • TANGAZO LA MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA

    read more
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • R.C ANDENGENYE AIPONGEZA KIGOMA D.C KWA HATI SAFI-ASISITIZA USIMAMIZI THABITI MAPATO YA NDANI
  • DAS NZOTA APIGA MARUFUKU MASOKO YA USIKU KWA WATOTO WA UMRI WA CHINI YA MIAKA 18
  • KAMATI YA SIASA YA CCM (W) KIGOMA YARIDHISHWA UTEKELEZAJI WA MIRADI KIGOMA D.C
  • MADIWANI WAIPA KONGOLE KIGOMA DC KUPAA KWA MAPATO
  • DC DKT.CHUACHUA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SIMBO AHIMIZA LIWE ENDELEVU
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani