UJENZI WA UBORESHAJI KITUO CHA AFYA BITALE, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA

Kituo cha Afya Bitale kiko kwenye Ujenzi wa kukifanya kuwa kituo cha Afya cha kisasa. Hii ni baada ya kupata Fedha Milioni Mia Nne (400,000,000/=) toka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya kukamilika, kinategemewa kutoa huduma za X-Rays, Ultra Sound na kuwepo kwa chumba cha Maiti (Mortuary).