• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

MAFUNZO ENDELEVU KAZINI NA SHULE BORA

Posted on: December 4th, 2022

Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa Mikoa 9 inayotekeleza mradi wa Shule Bora. Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ni miongoni mwa Halmashauri 8 katika Mkoa wa Kigoma zinazotekeleza mradi wa Shule Bora. Kuanzia tarehe 1-11 Desemba 2022 Mradi wa Shule Bora umefanya mafunzo endelevu kazini kwa walimu wa shule za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma. Mafunzo hayo yalikuwa na mada iitwayo "HADITHI ZA MAFANIKIO ZA UJIFUNZAJI ZA MFANO"

Pichani juu: Washiriki wa Mafunzo wakiendelea na Majadiliano

Mafunzo hayo yanafanyika katika Kata mbalimbali zikiwajumuisha walimu wa Kata husika. Mafunzo yanafanyika kwa makundi katika maeneo/vituo vilivyoainishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha walimu kuibua Hadithi za Mafanikio za Ujifunzaji za Mfano. Hadithi za Mafanikio ni hadithi za kweli zikielezea namna ambavyo mwalimu aliweza kubuni mbinu ya kufanya wanafunzi wake waweze na uwezo mzuri katika ujifunzaji. Kupitia hadithi hizi walimu wanaweza kijifunza na kupeana uzoefu namna kuboresha na kuinua kiwango cha ufundishaji ili kuongeza uwelewa na ufaulu kwa wanafunzi.

Pichani juu: Washiriki wa Mafunzo wakiendelea na Mafunzo

 

Pichani juu: Washiriki wa Mafunzo wakiendelea na Majadiliano


Pichani juu: Mshiriki wa Mafunzo akichangia Mada wakati wa Majadiliano


Pichani juu: Mshiriki wa Mafunzo akielezea  jambo wakati Majadiliano


Latest Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MUDA

    read more
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA PILI

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • WALENGWA WA KAYA MASKINI WAHIMIZWA KUENDELEZA UJUZI NA MIRADI WALIYOANZISHA
  • JESHI LA MAGEREZA KWITANGA LAFANYA USAFI HOSPITALI YA WILAYA YA KIGOMA LIKIFANYA MAADHIMISHO YA WIKI YAKE
  • SERIKALI YAKABIDHI MABOTI MAWILI YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 100 KWA AJILI YA KUIMARISHA DORIA ZIWA TANGANYIKA
  • NG’OMBE 7,000 KUCHANJWA DHIDI YA HOMA YA MAPAFU KIGOMA DC
  • CHMT KIGOMA DC YAFUATILIA KWA UKARIBU HUDUMA ZA AFYA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani