• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

BARAZA LA BIASHARA LA WILAYA YA KIGOMA LAFANYA MKUTANO

Posted on: March 15th, 2023

Baraza la Biashara la Wilaya ya Kigoma limefanya Mkutano wake kwa kikatiba tarehe 15 Machi, 2023. Baraza hili limefanyika katika ukumbi wa Just In Time uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Mkutano umewakutanisha wadau mbalimbali wa biashara kutoka Sekta binafsi na sekta umma ili kujadili, kupendekeza na kutatua changamoto za wafanyabiashara pamoja na mazingira ya biashara ya Wilaya ya Kigoma. 

Pichani juu: Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Bi. Dorah Buzaire (Aliyesimaa) akiongea na wadau wa biashara.

Katibu Tawala alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Pembeni ni viongozi wa Halmashauri. 


Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Dorah Buzaire amesisitiza mambo ambayo yamekuwa ni changamoto kwa wafanyabiashara na mazingira ya biashara, changamoto hizo ziangaliwe na zitatuliwe ili kuruhusu mazingira bora ya biashara. Wajumbe mbalimbali ambao ni wafanyabiashara wametoa hoja zao kwa Serikali ambazo Serikali imehaidi kufanyia kazi kwa ukaribu zaidi

Pichani juu: Viongozi wa Wilaya na Halmashauri wakiwa kwenye Mkutano

wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Kigoma.


Pichani juu: Wadau mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Baraza la Biashara

la Wilaya la Kigoma. 


Pichani juu: Mdau wa Biashara akitoa maoni yake wakati wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Kigoma.

Latest Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MUDA

    read more
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA PILI

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • WALENGWA WA KAYA MASKINI WAHIMIZWA KUENDELEZA UJUZI NA MIRADI WALIYOANZISHA
  • JESHI LA MAGEREZA KWITANGA LAFANYA USAFI HOSPITALI YA WILAYA YA KIGOMA LIKIFANYA MAADHIMISHO YA WIKI YAKE
  • SERIKALI YAKABIDHI MABOTI MAWILI YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 100 KWA AJILI YA KUIMARISHA DORIA ZIWA TANGANYIKA
  • NG’OMBE 7,000 KUCHANJWA DHIDI YA HOMA YA MAPAFU KIGOMA DC
  • CHMT KIGOMA DC YAFUATILIA KWA UKARIBU HUDUMA ZA AFYA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani