MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA.
Posted on 31 October 2024Siku ya wanawake Duniani uadhimishwa kila mwaka tarehe 08 Machi. Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yataadhimshwa na Mkoa katika Halmshauri ya Wilaya ya Kigoma siku ya tarehe 08 Machi, 2023 katika kijiji Kata ya Kidahwe. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Thobias Andengenye