Timu ya wakuu wa idara na vitengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetembelea na kukagua mradi wa kimkakati wa soko la kimataifa ya Kagunga. Soko hilo linajengwa na kampuni ya kizalendo ya Bogeta Engineering LTD ya jijini Dar es Salaam kwa gharama ya zaidi shilingi bilioni 1.49. Pindi soko hili litakapokamilika itakuwa ni chachu ya mandeleo kwa kukuza uchumi na kuongeza kipato kwa Halmashauri. Mradi huu ni miongoni mwa miradi mingi ya kimkakati inayotekelezwa na serilkali nchi nzima.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa