• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

MEMKWA KUSAIDIA WALIOKOSA ELIMU KWA MFUMO RASMI

Posted on: March 21st, 2023

Na Mwandishi Wetu:

Wadau wa elimu, Viongozi ngazi ya kata na Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wametakiwa kuihamasisha jamii kujiunga na Mpango wa elimu mbadala (MEMKWA) kwa Watoto Walioikosa. Yamesemwa hayo na Afisa Elimu ya Watu Wazima Mkoa wa Kigoma Ndugu. Hawamu Tambwe wakati wakimalizia mafunzo ya siku 5 ya kuwajengea uwezo Walimu wa MEMKWA, Maafisa Elimu wa Kata na Walimu wakuu yaliyofanyika kuanzia Machi 17-21, 2023.

Pichani juu: Picha ya pamoja ya Washiriki wa Mafunzo.


Mafunzo hayo yamefanyikia ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yakihusisha  Maafisa Watendaji wa Kata, Maafisa Elimu wa Kata, Wenyeviti wa Serikali za Vijiji, Walimu wakuu na Walimu wa MEMKWA chini mradi wa Elimisha Mtoto unaofadhiliwa na Shirika la UNICEF

Mwezeshaji wa mafunzo ya MEMKWA Kitaifa kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Ndugu. Dastan Msamada amesema elimu hiyo hufundishwa stadi za Kusoma, Kuandika na kuhesabu pamoja na Stadi za  maisha, Falsafa ya Ujasiriamali, na stadi za ufundi kwa lengo la kuchangia Maendeleo ya Taifa pindi anapohitimu masomo. Amesema elimu ya MEMKWA hutolewa kwa kundi rika umri wa miaka  8-13 na kwa vijana walio na umri 14-18 na baadae hujiunga katika mfumo wa elimu rasmi  kwa kufanya mtihani wa Darasa la Nne na la Saba

Pichani juu: Mwezeshaji wa Kitaifa ndugu. Dastan Msamada (Kushoto) kutoka Taasisi ya Elimu ya watu wazima akiongea na washiriki wa mafunzo.


Afisa elimu Watu wazima wa Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ndugu. Reinfrid Fidelis Nyeshahu amesema  vituo vya MEMKWA  vipo Kumi (10) kwenye Kata Tano (5) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.


Akifunga mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Ndugu. Jabir Timbako amesema jamii inapaswa kuhakikisha watoto wote waliokosa elimu kwa mfumo rasmi wanapata fulsa hii ya elimu mbadala pasipo kikwazo chochote ili kupunguza idadi ya watu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu.

Pichani juu: Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ndugu. Jabir Timbako (aliyesimama) akiongea na washiriki wa mafunzo na kufunga mafunzoo hayo.


Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Nchini inataka kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika, wanaopenda kujielimisha,  ili waweze kuchangia Maendeleo ya Taifa. Serikali imetoa fursa kwa watoto waliokosa elimu katika mfumo rasmi kupata elimu hiyo kupitia Mpango wa elimu mbadala (MEMKWA)

Matangazo kwa umma

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II March 13, 2023
  • WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA December 13, 2022
  • TAARIFA KUHUSU HALI YA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA November 15, 2022
  • View All

Habari M-pya

  • MWENGE WA UHURU 2023 WAKIMBIZWA KWA KISHINDO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    August 21, 2023
  • KIKAO CHA KAMATI WA LISHE KWA ROBO YA NNE APRILI-JUNI, 2023 CHAFANYIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    July 13, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA YAFANYA KIKAO CHA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

    May 12, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AFANYA ZIARA KATIKA KATA YA KAGUNGA

    May 07, 2023
  • View All

Video

MAKALA YA MIRADI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA

    Telephone: 028 2804865

    Mobile: 028 2804865

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa