• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA YAFANYA KIKAO CHA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

Posted on: May 12th, 2023

Na Mwandishi wetu:

Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imefanya kikao cha Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. Salum Kalli. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma  kikiwahusisha Maafisa Watendaji wa Kata, wakuu wa Idara na Vitengo pamoja, Mkuu wa Wilaya pamoja na viongozi wengine wa Wilaya.


Pichani juu: Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. Salum Kalli akishikiri kikao

cha Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.


Katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. Salum Kalli amewasisitiza Maafisa Watendaji wa Kata kuendelea kuwaibua watoto wenye changamoto ya lishe. Mkuu wa Wilaya amesisitiza Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kuendela kutenga bajeti Shilingi elfu 1 kwa kila mtoto kwa ajili ya lishe. Pia ameendela kuwakumbusha wataalamu na viongozi kuendelea kutoa elimu ya lishe bora kwa jamii ili kupata jamii yenye lishe bora.

Kikao hicho kimepitia mkataba wa lishe ili kuona wapi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imefanikiwa na wapi bado kuna changamoto na kuziwekea mikakati ya kuzitatua ili kufikia malengo.


PichanI juu: Wajumbe wakishiriki kikao cha utekelezaji wa mkataba wa lishe

katika halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.


Wakihojiwa kwa nyakati tofauti baadhi ya maafisa watendaji wa Kata wamekili kuwepo changamoto mbalimbali ambazo zinakwamisha kufikia malengo sahihi, lakini wanaendela kutoa elimu kwa jamii ili ione umuhimu wa lishe bora na pia jamii ishiriki moja kwa moja ili kufikia malengo.


Pichani juu: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

akiongea na washiriki wa kikao cha utekelezaji wa Mkataba wa lishe. 


Nae Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Bw. James Swai ameushukuru uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa kuendela kutenga bajeti na kutoa shilingi 1 kwa kila mtoto ili kutekeleza mkataba wa lishe. Lengo ni kuhakikisha jamii inapata lishe bora na kupunguza na kuwaondoka kabisa tatizo la utapiamlo.


Pichani juu:  Wajumbe wa kikao wakiendelea na kikao katika

ukumbi wa Halmashauri ya Wialya ya Kigoma


Pichani juu: Wajumbe wa kikao wakiendelea na kikao katika

ukumbi wa Halmashauri ya Wialya ya Kigoma


Matangazo kwa umma

  • TANGAZO LA ZABUNI YA VYANZO MBALIMBALI VYA MAPATO YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 October 25, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II March 13, 2023
  • WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA December 13, 2022
  • View All

Habari M-pya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA YAFANYA MAFUNZO ELEKEZI YA UTOAJI WA KINGATIBA KWA JAMII

    November 22, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KATIKA ROBO YA JULAI-SEPTEMBA, 2023

    November 14, 2023
  • MWENGE WA UHURU 2023 WAKIMBIZWA KWA KISHINDO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    August 21, 2023
  • KIKAO CHA KAMATI WA LISHE KWA ROBO YA NNE APRILI-JUNI, 2023 CHAFANYIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    July 13, 2023
  • View All

Video

MAKALA YA MIRADI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA

    Telephone: 028 2804865

    Mobile: 028 2804865

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa