Thursday 21st, September 2023
@Kata ya Kidahwe
Siku ya wanawake Duniani uadhimishwa kila mwaka tarehe 08 Machi. Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yataadhimshwa na Mkoa katika Halmshauri ya Wilaya ya Kigoma siku ya tarehe 08 Machi, 2023 katika kijiji Kata ya Kidahwe. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Thobias Andengenye
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa