• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

Maendeleo ya Jamii


Halmashauri ya wilaya inaendelea na mkakati wa uwezeshaji wa wananchi kiuchumi ikiwemo kusajiri vikundi vya ujasiriamali, kutoa elimu ya ujasiriamali (elimu ya biashara), kutoa mikopo kwa vikundi vya vijana na wanawake, kufuatilila urejeshaji wa mikopo na kufanya ufuatiliaji na usimamizi wa vikundi vya ujasiriamali.

Halmashauri imeendelea na uhamasishaji wa uundaji wa SACCOs na utumiaji wa huduma za fedha zinazotolewa na SACCOs. SACCOs zilizotembelewa ni SACCOS za Rusunu na Tuungane katika kata ya Nkungwe; SACCOS ya kijiji cha kigalye -Kata ya Ziwani; JUHUDI SACCOS katika kijiji cha Mtanga -Kata ya Ziwani; TULIHAMWE SACCOS katika kijiji cha nyarubanda -Kata ya Nyarubanda; na TANGANYIKA SACCOS katika Kata ya Kagunga.

Halmashauri inaendelea kufanya ufuatiliaji na usimamizi wa vikundi vya ujasiriamali vya wanawake na vijana ili kutoa ushauri na elimu elekezi juu ya ujasiriamali, uwekaji wa akiba, mikopo na sifa za kikundi hai. Jumla ya vikundi 191 katika kata zote 16 za Halmashauri ya Wilaya zilitembelewa na takribani watu 4,269 (Wanaume 1845 na Wanawake 2424) walipata elimu iliyokusudiwa. Kwa mwaka 2015/16 Halmashauri imetoa mikopo kwa vikundi 7 vya vijana yenye thamani ya shilingi TZS 19,000,000/= Katika fedha hizo, shilingi milioni kumi na nne zilipokelewa toka Serikali Kuu na shilingi milioni 5 ni mchango wa Halmashauri. Vikundi vilivyopokea mikopo ni kama ifuatavyo;

 Vikundi Vijana Vilivyopokea Mkopo 2015/16

JINA LA KIKUNDI

KIJIJI

KIASI KILICHOTOLEWA

SACCOS ya Vijana
Kidahwe

8,000,000/=

Sanaa Two Times –Youths
Mwandiga

6,000,000/=

VIWASE Vijana
Mkabogo

1,000,000/=

Kikundi cha Walemavu (KIWAWAKI)
Kalinzi

1,000,000/=

Tanganyika Beekeeping
Kagongo

1,000,000/=

Tuamke Women Group
Msimba

1,000,000/=

KIYODEO (Vijana)
Mwandiga

1,000,000/=

JUMLA


19,000,000/=

 

Halmashauri imeendelea kutekeleza mradi wa Tasaf awamu ya III ambao ulizinduliwa mnamo mwezi wa Aprili 2014 ukiwa na lengo kuu la kunusuru kaya masikini, toka mradi uzinduliwe Halmashauri imefanikiwa kutekeleza shughuli zifuatazo. Yametolewa mafunzo kwa viongozi na watendaji katika ngazi  mbalimbali, umefanyika utambuzi wa walengwa  kwenye ngazi za vijiji, uandikishaji wa walengwa, uhawilishaji wa fedha kwa walengwa ambapo kaya masikini 5183 zinanufaika na ruzuku zinazotolewa kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini.

Matangazo kwa umma

  • TANGAZO MAALUM LA KUKODISHA BOTI June 08, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA III April 22, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA March 15, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI, MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III January 03, 2022
  • View All

Habari M-pya

  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA WILAYA

    June 29, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA KIGOMA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    May 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU 365 ZA MH. SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI

    April 27, 2022
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA KIGOMA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    April 13, 2022
  • View All

Video

More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA

    Telephone: 028 2804865

    Mobile: 028 2804865

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa