Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia wananchi wote kuwa Halmashauri inauza viwanja vilivyopimwa kwa matumizi ya Makazi na Makazi na Biashara katika eneo la Kitalu “A” Kalinzi lililopo karibu na ofisi ya Mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini umbali wa mita 80 kutoka barabara ya lami ya Mwandiga – Manyovu. Kwa maelezo zaidi bofya tangazo hili: TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA.pdf
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa