• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

TAARIFA KUHUSU HALI YA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

15 November 2022

HALI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA OFISI YA MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA.

Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ilipokea shilingi 1,000,000,000.00 katika bajeti ya mwaka 2021/2020 fedha kutoka serikali kuu kwa ajili ya kujenga jengo la ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.

Utekelezaji wa Mradi huu ułitakiwa kuanza mwaka wa fedha 2021/2022 lakini ujenzi haukuweza kuanza kwa wakati.

Changamoto kubwa ya kuchelewa kuanza kwa Mradi huu ni Mgogoro wa Kisiasa wa Eneo la ujenzi uliochukuwa takribani miezi kumi na tano (15) na  hatimae ujenzi huo ukaamuliwa ukafanyike katika Kata ya Mahembe.

Hivyo kazi ya ujenzi huu ikaanza kutekelezwa na Mkandarasi mnamo Tarehe 16/08/2022.


Kumekua na changamoto nyingine mbalimbali katika utekelezaji wa mradi sababu ya ufinyu wa wazabuni inayopelekea uhaba katika upatikanaji wa vifaa Mfano. Nondo, Saruji na Kokoto kwani kuna Klasha moja tu linalotengeneza Kokoto zinazofaa nakuhitajika kwa ujenzi wa  ghorofa ambalo liliharibika kwa takribani mwezi mmoja.

Saruji pia ziliadimika Mkoa mzima wa Kigoma kwa muda wa mwezi moja.

Uhaba wa watumishi katika Kitengo cha Manunuzi, ambapo Kitengo cha Manunuzi hakikuwa na Mkuu wa Kitengo mzoefu kwa muda wa miezi mitano (5) na Kitengo hiki kuwa na watumishi wawili kwa kipindi chote na hivyo kupelekea Kitengo kuelemewa na kazi kuzingatia kwamba Halmashauri ina miradi mingi inayotekeleza.


UTATUZI WA CHANGAMOTO

Halmashauri imeendelea kuomba kuletewa watumishi ili kutatua tatizo la watumishi na tunashukuru tayari tumeshapokea Mkuu wa Kitengo cha Kitengo cha Manunuzi.

Halmashauri kununua baadhi ya vifaa vya ujenzi kiwandani mf. Nondo na Mabati.


Kwa sasa changamoto zimetatuliwa na ujenzi wa Mradi unaendelea kwa kasi, ujenzi huo kwa awamu ya kwanza unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Disemba 2022.

Kiujumla miradi yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Inaendelea vizuri na hakuna Mradi ambao umesimama kama inavyosemekana. Ipo miradi ambayo imekamilika na kutoa huduma na ipo mingine ambayo ujenzi bado unaendelea.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA 

15 NOVEMBA 2022

Matangazo kwa umma

  • WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA December 13, 2022
  • TAARIFA KUHUSU HALI YA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA November 15, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI MBALIMBALI ZA MAPATO YA HALMASHAURI August 30, 2022
  • View All

Habari M-pya

  • MAFUNZO ENDELEVU KAZINI NA SHULE BORA

    December 04, 2022
  • MBIO ZA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    September 30, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA WILAYA

    June 29, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA KIGOMA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA

    May 19, 2022
  • View All

Video

MAKALA YA MIRADI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA

    Telephone: 028 2804865

    Mobile: 028 2804865

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa