Sera ya Faragha
Tovuti zote za RS/MSM zitakuwa na sera ya faragha inayofanana kama inavyoonekana katiaka tovuti.Hivyo haitakiwi kufuta wala kuongeza neono
Tovuti italinda faragha na usalama wa wanaotembelea,haitakusanya,wala kutoa taarifa binafsi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binafisi wa kutoa taarifa.
Tovuti hii ina viungo kwend atovuti nyingine za serikali ambazo kwa namna moja au nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wa data na kanuni za faragha zinazoweza kutofautiana na za kwetu.Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Mabadiliko ya Sera ya Faragha
Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, totaweka taarifa iliyohuishwa mara moja katika ukurasa.Aidha tunashauri upitie ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizohuishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu.
Kanusho
Tovuti zote za RS/MSM zitakuwa na kanusho linanalofanana kama inavyoonekana katika tovuti.Hivyo haitakiwi kufuta wala kuongeza neono lolote.
Taarifa zote zilizopo katika tovuti hii ni mali ya Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa.Hakuna madai yatakayotolewa usahihi au uhalali wa maudhui ya Tovuti hii. Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa haitalazimika kukubali dhima yoyote au ushauri unaotolea kwenye tovuti hii.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa