Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma lililoketi tarehe 3 Juni 2020, pamoja na mambo mengine pia baraza hilo lilipitia na kujadili hoja mbalimbali za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka 2018/19. Baraza hilo pia lilihudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Mkoa akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. Samson Anga na Katibu tawala wa Mkoa wa Kigoma Mh. Rashid Mchata.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa