Serikali ya Tanzania Imeanzisha Utaratibu wa kuomba Vibali vya Kusafiria Kwenda Nje ya Nchi, Kwenye Mtandao. Vitu Muhimu unavyopaswa kuwa navyo ni
1. BaruaPepe ya Serikali. Yaani BaruaPepe ya Mawasiliani Serikalini.
2. Hati ya Kusafiria (Passport).
3. Barua ya Ruhusa toka kwa mwajiri.
Kufungua Mfumo wa Kuomba Vibali kwenda Nje Bonyeza HAPA Ukishindwa, Fika ofisi ya TEHAMA ya Halmashauri.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa