• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

TASAF

1.0 UTANGULIZI

Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini katika halmashauri yetu umekuwa ukitekelezwa hatua kwa hatua ambapo  shughuli za utambuzi na uandikishaji wa kaya masikini zilitekelezwa na wanavijiji wenyewe kupitia mikutano mikuu maalum  kwa kuweka vigezo vya hali ya umasikini kulingana na maeneo yao, vigezo vilivyowekwa kwenye mikutano hiyo ndio vilivyowezesha kuzipata kaya za watu masikini na kupendekezwa kuwa wanufaika wa Mpango huu.

2.0 LENGO LA MPANGO

Lengo kuu la  mpango ni kuzipatia ruzuku kaya za walengwa ili ziweze kuboresha hali zao  za maisha na hatimaye kuweza kuwekeza katika shughuli za uzalishaji mali ili kujiongezea kipato cha kuwawezesha kumudu mahitaji yao muhimu ikiwemo Afya, Lishe, Elimu na kuwasaidia kuondokana na lindi la umasikini.

3.0 UTEKELEZAJI WA MPANGO

Katika halmashauri ya wilaya Kigoma Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unatekelezwa katika jumla ya vijiji 32 kati ya 46 vilivyopo, na jumla ya kaya 5082 mpaka sasa ndizo zinazoendelea kunufaika na ruzuku kupitia Mpango huu.

Tangu septemba 2014 hadi machi 2017 jumla ya Shilingi 2,353,225,341 zimeshatolewa kwenye kaya za wanaufaika.

Matangazo kwa umma

  • BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2020, SHULE YA SEKONDARI NYARUBANDA, SHULE YA SEKONDARI MWANDIGA NA SHULE YA SEKONDARI GOMBE September 02, 2020
  • EAST AFRICAN ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOLS 2020 September 02, 2020
  • View All

Habari M-pya

  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA WAMCHAGUA MH. JOSEPH NYAMBWE KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA KWA KIPINDI CHA 2020-2025

    December 16, 2020
  • TIMU YA WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA IMEKAGUA MRADI WA KIMKAKATI WA SOKO LA KIMATAIFA LA KAGUNGA.

    July 18, 2020
  • MAHEMBE, SASA KUWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA

    October 15, 2019
  • BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA LAJADILI HOJA ZA MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 04, 2020
  • View All

Video

WAZIRI WA NISHATI Mh. Dr. MEDADI KALEMANI AKIWAHOTUBIA WANANCHI WA MKIGO - KIGOMA
More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA

    Telephone: 028 2804865

    Mobile: 028 2804865

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa