Mkurugenzi Mtendaji Anawatangazia Wananchi wote Kuwa Halmashauri ya Wilaya inaanza Kutekeleza Agizo la Kukusanya Kodi za Majengo.
Wananchi wote mnaalikwa kutoa Ushirikiano kwa zoezi Hili muhimu.
Kwa Maelezo zaidi Soma TangazoTANGAZO.pdf
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa