Kusajili vikundi .
Kutembelea vikundi.
Kutoa elimu kwa vikundi.
Kutoa mikopo kwa vikundi.
Kufanya ufuatiliaji na tathmini.
Kutoa mafunzo ya jinsia kwa jamii na mahala pa kazi .
Kuelimisha viongozi wa kijiji/wanakijiji juu ya umuhimu wa ujenzi wa nyumba bora.
Kutoa mafunzo juu ya kujikinga na VVU/UKIMWI.
Kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa majiko Sanifu.
Kumsikiliza mteja .
Kumpa mteja ushauri na maelekezo .
Kujibu barua za wateja.
Kuandaa na kuwasilisha taarifa mbalimbali.
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Mobile: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa